MAISHA NA AFYA: Mapambano dhidi ya HIV na UKIMWI duniani
Kulingana na UNAIDS watu milioni 39 duniani kote wanaishi na HIV na zaidi ya milioni 29 wanatumia dawa ya kupunguza makali ya HIV. Hata hivyo watu milioni 9.2 bado hawana uwezo wa kupata matibabu. Mataifa ya Afrika- Kusini mwa Jangwa la Sahara yanachangia asilimia 65 ya maambukizi yote duniani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afy